Saturday, 18 November 2017

FANYA HAYA PALE UNAPOACHWA NA MPEZI WAKO

FANYA HAYA PALE UNAPOACHWA NA MPEZI WAKO

Madhara makubwa sana yamekuwa yakitokea kutokana na kuachwa na wapenzi tulio wapenda .tuliowaamini sana na kuaamua kuwapa sehemu kubwa sana ya maisha yetu.kati ya madhara hayo ni pamoja na kujiua hasa Kwa vijana kati ya miaka 20-35,kufeli mitihani,kuacha kazi na kupoteza mwelekeo wa maisha kabisa..
   Leo naenda kukulete njia kumi za kumsahau kabisa mpenzi wako aliyekuacha..........
    
1. USIYAZUIE MACHOZI
Maumivu hayo yatakufanya ulie sana.pengine ukajuta hata kwann mulikutana utajiona mtu usiye na thamani katika dunia..lakin kadri maumivu yatakavo endelea itakupelekea kulia usijizue lia kadri uwezavyo hii itakupelekea kupunguza maumivu ikiwezekana tafuta sehemu ya peke yako lia ukimaliza utajiona mtu mwenye wepesi Fulani
           
2.FUTA NAMBA ZAKE
Kuendelea kuwa na namba zake kutakufanya uendelee kutamani kumpigia  ili abadilishe mawazo yake hii itakupelekea kuumia zaidi has a kama hakutaki na ana mtu mwingine..futa namba zake na hata kama zipo kichwani usi zi save

3.KUWA BIZE NA MAMBO MENGINE
Fanya mazoezi ,jichanganye na marafiki mbalimbali nenda sehemu ambazo hujawahi fika na marafiki,angalia filamu zisizohusisha story za mapenzi (love story) hii itakufanya usahau mapema.
                    
4. USIFICHE HISIA ZAKO
kama umeachwa usione aibu ongea na ndugu na jamaa zako waambie ukweli kuhusu yaliyokusibu hii itakusaidia kupunguza mzigo wa mawazo kichwani..kwani inaaminika kuwa kadri tunavoficha vitu moyoni ndivyo tunavozidi kujiumiza

 5.USITAFUTE MPENZI MWINGIN  KUZIBA PENGO
  Watu wengi huamua kutafuta mpnzi mwingine pindi wanapoachwa wakiamini kuwa ndio njia sahihi ya kusahau haraka..lakini hii sio njia sahihi kuachwa ni kuachwa tu na haita badili ukweli..kwani maumivu yako yakiisha ndipo utagundua kuwa huna mapenzi ya kweli Kwa huyo uliyenaye Kwa wakati huo ..hivo utaishia kumuumiza tu...........

6.TOA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO ALIYEKUACHA HATA KAMA  HAJAOMBA MSAMAHA
Njia pekee ya kuwa huru ni kutoa msamaha na kusamehe kutoka moyoni..hii itakufanya kuwa huru kihisia.visasi moyoni haitakusaidia kuondokana na maumivu zaidi utajikuta unawaza kutenda mambo ya ajabu unaweza kuwaza hata kumuua hata kujeruhi...wataalumu wanasema hakuna visasi vibaya duniani kama visasi vya mapenzi..hata visasi vya mauaji haviwez kufikia visasi vya kimapenzi

7.KUWA MBALI NA VITU VITAKAVYO KUK  UMBUSHA KUHUSU YEYE
Weka mbali picha na zawadi zote pia huu si muda wa kukumbuka mema yake wala kutembelea sehemi mulizo wahi kwenda pamoja...kuwa na marafiki wapya ambao hawamfahamu mahusiano yako yaliyopitaga...usiwe na urafik na marafiki zake hii itakupelekea kurudisha hisia nyuma kila unapo waona

8.USISEME MABAYA KUHUSU X WAKO HUYO
hii ni hali ya mapito haina muda ni kitambo tu..ukianza kupost vibaya kwenye mitandao ya kijamii kuhusu yeye au mahusiano yakohaitakusaidia kitu...tambua mapenzi hayana kisasi kama umeachwa umeachwa tu....

9.KUMBUKA SILENCE IS BEST WEAPON FIKIRIA FAIDA ZA KUISHI MWENYEWE
Kwanza unakuwa huru kufanya lolote unaweza kuzima simu yako hata week na usiulizwe na MTU yoyote.....unaepuka mengi kama stress,utaokoa muda.....na utakuwa free kufanya lolote bila kuulizwa

10.TUMIA DAWA ZA  KUPUNGUZA MAWAZO
Maumivu ya mapenzi ni zaidi ya maumivu ya kukatwa na wembe au kuungua na moto...maumivu ya mapenzi ni zaidi ya neno maumivu yenyewe utashindwa kula ,kulala wala kufanya lolote kipindi hichi ni kipindi kigumu zaidi Kwa binadamu yoyote unaweza ukajikuta ukilia muda wote...ubebaji wa maumivu ya mapenz hutegemea mtu na MTU.so unapohisi kuzidiwa zipo dawa kama Clomipiomin,doxepin na zingine ni vema kumuona dactar kabla ya kutumia japo in ghari kidogo...lakin ni heri gharama ya pesa kuliko adhabu ya moyo na moto unaowaka kifuani Kwa maumivu ya mapenzi
      
11.AMINI UTAPATA MWINGINE
Sio mwisho wa maisha...hakuna kitu kisicho na mwisho amini yupo mtu sahihi unayemsubiria..ucfanye pupa cos LOVE IS NATURAL U CAN FIND ANY WHERE WITHOUT YOUR WILLING..BELIEVE YOUR SPECIAL....
    BELIEVE ME ANOTHER LIFE AND LOVE WILL COME AND YOU WILL BE HAPPY AGAIN.

o-FAILED-MARRIAGE-facebook






No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.

TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO 2019

https://youtu.be/3CLxlkAGSw0