Nyota wa filamu Sylvester Stallone
Nyota wa filamu Sylvester Stallone amekana ripoti kwamba yeye na mlinzi wake walimnyanyasa kingono shabiki wake wa miaka 16 mjini Las Vegas mapema miaka ya themanini.
Gazeti la mtandao la The Mail limechapisha kile linasema ni ripoti ya polisi kutoka 1986 ambayo ilielezea madai hayo.
Mwanamke huyo hakuwasilisha mashtaka dhidi ya Stallone kwa sababu alinyanyaswa na kuaibishwa mbali na kuwa na hofu.
Hakuna hatua iliochukuliwa.
Msemaji wa nyota huyo wa filamu ya Rocky alisema kuwa taarifa hiyo ilikuwa ya uwongo.
Michelle Bega aliyaelezea madai hayo kuwa ya uwongo, akiongezea : hakuna mtu aliyekuwa akijua kuhusu habari hiyo hadi ilipochapishwa leo, akiwemo bwana Stallone.
''Bwana Stallone hakuwasiliana na mtu yeyyote ama malaka ama mtu yeyote yule kuhusu swala hilo
Saturday, 18 November 2017
Nyota wa filamu maarufu kwa jina la Rambo akana tuhuma hizi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO 2019
https://youtu.be/3CLxlkAGSw0
-
USAID Tanzania Jobs (4 Vacancies) The Human Resources (HR) Office in the Department of State Dar es Salaam manages the Employment Progra...
-
Femina Hip is the one of the leading youth development organizations with a focus on social behavior change communication, access to i...
-
Description POST : RESEARCH ASSISTANTS FOR STILL BIRTH PROJECT POSITION TYPE : TWO YEAR FULL TIME JOB POSITIONS AVAILABLE: 2 LOCATIONS : N...
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.