IFAHAMU SIRI HII KUHUSU MWANAMKE
Mwanamke anapo chukua jukumu la kuishi nawewe sio kwamba amefata chakula kwako upendo ndio chakula cha mwanamke ndicho amefata kwako.
Mwanamke anapo chukua jukumu la kubeba mimba yako ni upendo hili wewe ufurahi Lakin ungejua mateso wanayo Pata wanapo jifungua
Mwanamke anapo sema nakupenda ucje ukafikiria ni malaya hapana amemanisha kutoka ndani ya moyo wake hili usimumize.
Hivi umewah kufikria wanawake wamepewa ujasiri gani ndani ya mioyo yao akujui pengine wewe jambazi Lakin utasikia nipo tayar kuolewa nawewe.
Bausa wa kwanza duniani ni mwanamke yaniiii hata uwe na nguvu kiasi gani lakini nguvu zako kwa mwanamke bleck muulize Samsoni mwanamke akiamua kukuua ni dakika moja tu lakini wamepewa mioyo ya huruma.
Mwanamke amependelewa na Mungu ukiishi nae kwa upendo na Aman yaniiii namanisha mwanamke akifurahi umebarikiwa hivi umewah kujiuliza kwamba maombi ya mwanamke yanajibiwa haraka kuliko ya mwanaume.
Ndoa ni furaha watu wanasema ni mbingu ndogo mfurahie mke wako mpende mke wako ukimkosea Muombe msamaha.
Dawa ya mwanamke sio pesa dawa ya mwanamke ni upendo furaha Aman hivo tu umemteka mke wako.
Please ucje ukanyenyua mkono wako kumpiga mwanamke ukitaka mwanamke akueshimu mueshimu kwanza wewe.
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.